28 October 2013

DUNIA INA MAMBO: BINTI AISHI BAHARINI KAMA MKE WA JINI KWA MIAKA 14,AKATWA KIDOLE KAMA ALAMA...!USHUHUDA HUU HAPA

Aliyekuwa Fr*ee*ma*son kwa miaka 14 afunguliwa katika mkutano wa Ufufuo na Uzima unaoendelea Moshi; alikatwa kidole akiwa mdogo kama udhihirisho wa alama yao (de*vil hor*ns).
Alieleza mwenyewe mbele ya waliokuwepo mkutanoni maelfu ya watu wa mkoa wa

Kilimanjaro na vitongoji vyake wanaohudhuria mkutano huo katika viwanja vya mashujaa unaoongozwa na mchungaji Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima lenye makao makuu yake Kawe jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname