28 October 2013

MWANAJESHI MWINGINE WA TANZANIA AUWAWA NA WANAJESHI WA M23


 Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania Mwanajeshi kwa jina RAJABU AHMAD MLIMA katika Vita vya waasi huko Congo ..Alikuwa katika Jitihada za kuwalinda wakazi wa mji wa Kiwanga nchini humo pamoja na wanajeshi wengine wa Umoja wa Mataifa ....Mungu Ailaze mahali pema Peponi Roho yake ....Amen

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname