27 March 2014

ANGALIA PICHA MWALIMU ABAMBWA AKIJIUZA,ASEMA MSHAHARA MDOGO,

Mwalimu akiwa ameduwaa baada ya kunaswa kwenye sakata hilo.
 Wakati Wakristo bado wapo kwenye Kwaresma, mama aliyejitambulisha kuwa ni mwalimu wa shule ya msingi, amenaswa laivu akijiuza maeneo ya Mbagala-Zakhem jijini Dar.Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Machi 24, mwaka huu ambapo awali, wakazi wa eneo hilo waliwatonya mapaparazi wa Operesheni Fichua Maovu (OFM) kuwa kuna danguro kubwa maeneo ya Kizuiani ambalo limesheheni madadapoa wa kila aina
wakiwemo mabinti wadogo.Chanzo hicho kilimwaga data kuwa, kuna mzee maarufu kwa jina la babu katika eneo hilo ambaye amekuwa akiwapa machangudoa hifadhi katika banda lake na kuwapa magodoro chakavu kwa malipo ya shilingi elfu moja kwa kila kichwa.INAENDELEA HAPA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname