28 October 2013

Tazama Picha 50 za Matukio Yote yaliyojiri Kwenye Serengeti Fiesta Jana

Kala Jeremah akifanya show fiesta Dar.
Usiku wa jana shangwe za mara ya pili zilitawala katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam ambapo show kubwa ya Serengeti Fiesta iliendelea kwa mara pili baada ya hapo juzi kutokea hitilafu ya umeme na kusababisha show ishindwe kuendelea. J.Martin akiimba katika fiesta Dar es salaam.
Hapo jana tena show ya Fiesta ilianza kwa kuwapandisha Serengeti Super Nyota 2013 ambapo walionyesha uwezo wao kwa mashabiki na baada ya hapo shangwe ziliendela kutoka wa wasanii wengine. J.Martins akiimba katika Fiesta Dar es salaam. J.Martin akiwa na stedi show wake. J.MartinS akiwa na stedi show wake. Kala Jeremiah akifanya show fiesta Dar.
Msanii Diamond,Nay wa Mitego na Ben Pol  wakisalimiana.
Mwana FA
TID akifanya yake katika stage ya fiesta Dar.
Chege akiimba serengeti firesta Dar.
Chid Benz akiwa katika show ya fiesta Dar.
Diamond na Nay wakiteta jambo.
IMG_0139
  Madee akifanya yake fiesta Dar. Madee akifanya yake fiesta Dar Msanii Diamond,Nay wa Mitego na Ben Pol wakisalimiana. Msanii wa asili nchini Mrisho Mpoto akiwa amesimama na marafiki zake wa kenya. Msanii wa asili nchini, Mrisho Mpoto akiwa amesimama na marafiki zake wa Kenya. Mshabiki namba moja wa Fid Q alionyesha kitambaa chenye ujumbe kwake.
Mashabiki namba moja wa Fid Q wakionyesha kitambaa chenye ujumbe kwake MwanaFA Nay akimchana Diamond mtoto mchele mchele. Nay akimchana Diamond mtoto mchele mchele Noma sana.
Noma sanaa.


Noma sanaa. Temba akifanya yake. Temba akifanya yake. TID akifanya yake katika stage ya fiesta Dar. Afande Sele ndani ya fiesta Dar.
Amini,TID,na washindi wa serengeti super nyota 2013 waliitwa na J.Martin AY akifanya yake.


Chege akiimba serengeti firesta Dar. Chid Benz akiwa katika show ya fiesta Dar. Davido akifanya yake Dar es salaam fiesta. Davido akifanya yake Dar es salaam fiesta   Diamond na Davido wakifanya show fiesta Dar ,noma sana. Diamond na Davido wakifanya show Diamond na Nay wakiteta jambo IMG_0140 IMG_0141 IMG_0159 IMG_0160
IMG_0167 IMG_0170 IMG_0172 IMG_0173 IMG_0180 IMG_0190 IMG_0197 IMG_0198 IMG_0212 IMG_0228 IMG_0235 IMG_0239 IMG_0282 IMG_0297 IMG_0325 IMG_0350 IMG_0363 IMG_0370 IMG_0375 IMG_0387 IMG_0401 IMG_0403 IMG_0429 IMG_0440 IMG_0456 IMG_0469 Ben Pol akifanya yake fiesta Dar. Diamond fiesta Dar ,Noma sana.  From:Bongo5

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname