Mwanadada SHAA ambaye anafanya Game ya Muziki wa Bongo Fleva, Amefiwa na mama mzazi.
Tunatoa pole sana kwa Kwa shaa pamoja na Familia yake pia Mungu ampe Nguvu katika kipindi hiki cha Msiba
Tunatoa pole sana kwa Kwa shaa pamoja na Familia yake pia Mungu ampe Nguvu katika kipindi hiki cha Msiba
Bwana ametoa na Bwana ametwaa..........
SOURCE: HZB
No comments:
Post a Comment