02 August 2013

GARI LA JESHI LAGONGA MWENDA KWA MIGUU!!

Raia aliyegongwa ameumia sehemu za shingo, usoni, machoni, mkononi na miguuni amevuja damu nyingi, akisaidiwa kuingia kwenye Bajaj ili apelekwe hospitalini kwa matibabu zaidi.

Gari la Jeshi la Wananchi Tanzania, 2008 JW12 lililokuwa linaendeshwa na kupita upande tofauti wa 


uelekeo wa kawaida wa barabara limemgonga mtu mmoja aliyekuwa anavuka barabara katika eneo la TAZARA.

Gari hilo lilikuwa likipita upande wa kulia yanakotokea magari ya Buguruni na Ubungo baada ya dereva wake kukiuka sheria za barabarani.



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname