01 July 2013

SHABIKI ASHINDWA KUVUMILIA AMPANDILIA DIAMOND JUKWAANI




"Hii ilikuwa show yangu nikiwa mkoani Tabora

mahususi kabisa nikiwa nimekuja kukonga nyoyo

za mashabiki wang wa kipindi kirefu waliokuwa na kiu ya kuniona 

kutokana na kipindi kirefu kuwa na Tour mbalimbali
...



Show hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Frank Man Palace......

Nashukuru sana watu wangu wa kweli waliofurika ukumbuni

umo hadi kusababisha wengine kuchezea

mziki nje ya geti kutokana na wingi wa watu uliofurika......much love kwao

watu wangu wa Tabora.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname