Mwanamuziki TID ambaye yuko nchini UK
kwenye tour iliyoandaliwa na Victor DJRule BongoUk amefunguka leo
kupitia ukurasa wake wa facebook na kumshtumu promoter huyo aliye mleta
nchini huma kuto kumlipa baada ya kufanya show kama walivyo kuwa
wamekubalina. TID amaandika kifuatacho:
My
mind is not some stupid promota is trying to rob me,am not goin to let
it happen am calling my balozi why a Kenyan artist hajamzingua......ndo
maana hatuendelei


No comments:
Post a Comment