26 June 2013

PONGEZI KWA SERIKALI YA ZANZIBAR:HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA BANDARI YA ZANZIBAR



Hii ni hatua nzuri ya maendeleo kwa nchi nzima....ukiangalia kwa umakini picha hizi kwa ghafla unaweza usiamini kama ni zanzibar labda baadhi ya muonekano wa juu utagundua ndio kisiwani zanzibar...Maendeleo yaliyokuwepo kwenye bandari hii ni makubwa sana
 ukilinganisha na Bandari ya zamaniilivyokuwa inaonekana lakini kwa sasa ni kitu kingine,ukifika bandarini hapo unaweza ukasahaukama upo kisiwani hapo...!
Ni maendeleo makubwa kabisa kwa kisiwani zanzibar na ni 
mfano wa kuigwa kokote pale kwahatua waliyopiga....Zifuatazo Ni Picha za muonekano huo mpya wa Bandari ya kisiwani zanzibar....!!
Inasemekana Mmiliki wa Azam Ndugu Bakhresa ndio aliedhamini
mchakato mzima wa kutengenezwa kwa bandari hiyo...!!
PONGEZI KUBWA KWA ZANZIBAR



Muonekano kwa usiku kwenye geti la kutokea bandarini hapo...!!


Sehemu ya ndani kwenye mapokezi....!!











No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname