OMMY DIMPOZI ASHAMBULIWA KWA CHUPA NA MAWE AKIWA STEJINI DODOMA JANA
Jana DODOMA katika show ya Kilimanjaro Ommy Dimpoz alitaka kuelezea kilichotokea na kuomba msamaha kuhusu story ya kumtukana ngwear.....hata hajamaliza.... mawe mara makopo..hadi akashindwa kueleza..Chonde chonde wasanii muwe makini na mnachosema
No comments:
Post a Comment