IMEBAINIKA..Ben Pol AME COPY na KU PASTE Hii NYIMBO ya "The Script feat Will I a.m" Sikiliza Mwenyewe uone
Mkali wa miondoko ya RnB ndani ya copy and paste.Siku chache baada ya
kuachi ngoma yake mpya ya jikubali mshindi wa tuzo ya mashairi bongo
Ben Pol imeonekana wimbo mzima wa Jikubali ame copy wimbo wa Hall of
fame ulioimbwa na The Script feat Will I a.m;
Du wabongo kwa copy na kupost nooma
ReplyDelete