28 June 2013

Exclusive: Kajala aamua kunyoa kipara...Angalia MUONEKANO WAKE KWA SASA


Kajala
 Mwigizaji aliyerudi uraiani hivi karibuni Kajala Masanja amefanya mabadiliko makubwa ya mtindo wake wa nywele baada ya kunyoa kipara “kikavu” kichwani mwake.
 Amesema hii ni kutokana na  kushoot movie yake mpya ndo mana imembidi anyoe kipara maana inamlazimu kuonekana hivyo ndani ya Filamu hiyo.
  Itaitwa Heart attack

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname