23 June 2013

Angalia PICHA ..BONANZA LA WANAFUNZI WA MWAKA WA TATU CHUO CHA UHASIBU ARUSHA (I.A.A) LAFANA



MBWEMBWE KAMA KAWAIDA WAKIONGOZWA NA BAUNSA TWAHA

MWENDO WA KARATE

MA MC's WA BONANZA HILO MWENYE MIC NI MDULA

WASHINDI WA PILI WAKINYONYOA KUKU  CHINI YA KIONGOZI WAO MTAALAMU WA MAKUKUZE  FRANK


HUYU MWENYE NGUO NYEUSI NDO REFA ANAITWA KALUMNA


KIJANA GODDY a.k.a G FURAHA BAADA YA USHINDI

HUYU NDO  MTAALAMU WA KUVAA MODO CHUO KIZIMA ANAITWA FOD a.k.a MODO


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname