| Diamond Show, Golden Creast Hotel Mwanza |
Picha hii inasambaa mtandaoni, Kutoka Golden Creast Hotel Mwanza
ambapo Diamond alikuwa na show jana kwaajili ya sikukuu ya wapendanao na
kiingilio kinatajwa kuwa kulikuwa ni shilingi 20,000/- za kitanzania.