18 July 2012

The Chocolate Crew laibuka mshindi Serengeti dansi la fiesta Dar,lajinyakulia kitita cha sh milioni moja

 The Chocolate Crewlimejipatia shilingi milioni moja mara baada ya kuibuka washindi kati ya makundi saba yaliyojitokeza kushiriki shindano la Serengeti dance la Fiesta 2012,ndani ya Suncirro,Sinza jijini Dar.Shindano la namna hii limekwishafanyika katika mkoa wa Arusha ambapo mshindi lilikuwa kundi la Contegious Crew,mkoani Tanga kundi la Questions Crew waliibuka washindi pamoja na Viswani Zanzibar ambapo kundi la B-Six lilishinda.Aidha makundi yote hayo yalijinyakulia kitita cha shilingi milioni moja.

1 comment:

  1. daah! Hawa watoto wametisha wangu!,,hatari kama mbele hata CRISS BROWN akiwaona atakubali!

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname