Showing posts with label MAAJABU. Show all posts
Showing posts with label MAAJABU. Show all posts

19 February 2016

15 April 2013

Maajabu Geita:Aliyefariki miaka mitano iliyopita afufuka


Mji wa Geita na maeneo ya jirani juzi ulikumbwa na taharuki ya aina yake, pale mwanamke ambaye anadaiwa kwamba alifariki miaka mitano iliyopita alipoonekana akiwa hai katika eneo la Kasamwa.

Inadaiwa kwamba Flora Onesmo (45) alifariki Februari 28, 2008 katika Hospitali ya Wilaya ya Geita na kuzikwa katika

02 April 2013

INASIKITISHA::TAZAMA PICHA MTOTO ALIYEZIKWA HAI NA BABA YAKE

Marehemu Debora Riziki miaka 3 enzi za uhai wake

Riziki Mwangoka kulia anaetuhumiwa kumzika mtoto wake akiwa hai

27 March 2013

HATARIIII.....JAMAA ALIYEKAMATWA AKIUZA KIWILIWILI CHA MWANADAMU

jamaa huyo hapo juu kakamatwa nchini nigeria akitafuta mtu wa kununua  kipande cha mwili wa binadamu, huu ni unyama wa kutisha sana. 

14 March 2013

MAAJABU....MWANAMKE ANATUMIA UKE WAKE KUNYANYUA VITU VYENYE UZITO wa Kg.14. JIONEE MWENYEWE

Inaniwia vigumu kupata kichwa sahihi cha habari hii, Ila hii ni video ya mwanamke Tatyana Kozhevnikova raiya Urusi ambaye hajatangazwa rasmini kama yeey ni mwanamke mwenye Uke imara kuliko wote lakini anautumia kunyenyulia kitu chenye uzito wa Kg 14.
Inasemekana anaweka yai la mbao ndani ya uke wake na kuifungia kamba

24 January 2013

MAAJABU......Huyu ndo MBUZI ALIYE PELEKWA MAHAKAMANI KWA KULA MAUA YA JIJI. ANGALIA Picha na VIDEO


MBUZI AKIPELEKWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KULA MAUA YA JIJI LA SYDNEY HUKO AUSTRALIA ,MWISHOWE MBUZI ALISHINDA KESI

ANGALIA VIDEO NZIMA HAPA

Comments system

Disqus Shortname