02 April 2013

INASIKITISHA::TAZAMA PICHA MTOTO ALIYEZIKWA HAI NA BABA YAKE

Marehemu Debora Riziki miaka 3 enzi za uhai wake

Riziki Mwangoka kulia anaetuhumiwa kumzika mtoto wake akiwa hai

Hapa maiti ya mtoto Debora ikiwa imetolewa nnje mara baada ya kufukuliwa ndani ya nyumba ya baba yake mzazi 
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI TUNAZOZIONYESHA

Mwili wa marehemu Debora  ukionyeshwa kwa mzazi na kudhibitisha kuwa ndiye mwenyewe aliyemfukia

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname