Showing posts with label Siasa. Show all posts
Showing posts with label Siasa. Show all posts

19 February 2016

22 December 2014

KIKWETE ASEMA PESA ZA ESCROW NI MALI YA IPTL

Kikwete: Kimsingi Fedha zilizokuwa kwenye akaunti ni Mali ya IPTL, kwani zililipwa na Tanesco kama tozo ya Umeme wa IPTL
Kikwete: Taifa halikupata hasara yoyote kwakuwa fedha hazikuwa za Tanesco na amelipwa mmiliki halali ambaye ni IPTL
Kikwete: Hili sakata la ‪#‎TegetaEscrow‬ lina mambo mengi, najaribu kuyaeleza pole pole ili mchanganuo wake ueleweke
Kikwete: Akaunti ya tegeta escrow ilianzishwa kwa kuweka fedha kuilipa IPTL ambazo Tanesco ilikuwa inalip
Kikwete: Kila mtu alisema lake, mara kuna watu wamekwenda kwenye benki na wamebeba fedha kwenye viroba, lumbesa na sandarusi.
Kikwete: Uamuzi wa mahakama, na ushauri wa mwanasheria mkuu, uamuzi ule ulitiliwa shaka na kuonekana haukuwa sahihi
Kikwete: Fedha hizi haziwezi kuwa hazina mwenyewe maana mwenyewe ni IPTL
Kikwete: Fedha zilizowekwa kwenye akaunti ya escrow hazina sifa ya kuhesabika kama ni fedha za Tanesco

Comments system

Disqus Shortname