Mapenzi ya
Shilole na
Nuh Mziwanda yaliongelewa sana
mitandaoni hada ilipofikia kuachana kwao. Maranyingi walikuwa wakienda
kula bata kwa pamoja nchi za nje lakini hivi sasa inawezekana kila mmoja
atakuwa akila bata kivyake au katika mahusiano mapya atakayo yapata.
Huyu hapa
Shilole akiwa
Paris kula bata.
No comments:
Post a Comment