02 January 2016

MSANII WA BONGO RAY C YALE YALE TENA,ARUDI ALIKOTOKA

ray-c1Mrembo aliyewahi kutikisa kwenye ‘gemu’ la Bongo Fleva, Rehema Chalamilla ‘Ray C’.
KAMA ni kweli manenomaneno yanayozungumzwa mtaani kwamba, mrembo aliyewahi kutikisa kwenye ‘gemu’ la Bongo Fleva, Rehema Chalamilla ‘Ray C’, eti ameanza kubwia ‘unga’ (madawa ya kulevya) kama zamani, basi nyota huyo atakuwa anarudi ‘kuzimu’ ambako alishatoka miaka miwili nyuma, Risasi Jumatano linakupa zaidi. 

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname