Aliyekuwa waziri wa mashauri ya
nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia
haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.
Membe amewataka wajibu kwa hoja
badala ya kumziba mdogo.
Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana
CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.
Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni
huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.
Amesisitiza kuwa rais Kikwete
atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
No comments:
Post a Comment