05 December 2015

KIFO CHA KIGOGO WA BANDARI KUFA KWA PRESHA MAKUBWA YAWEKWA WAZIKILA KITU KIPO HAPA

WAKATI Rais John Magufuli akiwa kwenye zoezi la kutumbua majipu kwenye Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), mshtuko mkubwa umetokea kufuatia kigogo mwenye wadhifa wa Artsan One (TPA) jijini Dar, Elia Eliampenda Kimaro (51) kufariki dunia ghafla kwa shinikizo la damu (presha) akiwa nyumbani kwake, Mikwambe, Kigamboni, Dar.Kimaro alifariki dunia Novemba 30, mwaka huu kwa uthibitisho wa daktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako marehemu alikimbizwa kwa ajili ya matibabu.
Kifo cha Kimaro kimetokea wakati kukiwa na sintofahamu kubwa 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname