05 December 2015

HOFU YATANDA : ULINZI WA RAIS MAGUFULI UIMARISHWE,MAJIPU ANAYOTUMBUA VIGOGO WAHAHA KILA KONA

Rais Dk. John Pombe Magufuli alipofanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wiki kadhaa zilizopita.
Hofu ya kifo! Maisha ya Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli yamo hatarini hivyo inabidi ulinzi wake uimarishwe zaidi ya marais waliomtangulia, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa na Dk. Jakaya Mrisho Kikwete.  


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname