08 December 2015

JAJI WARIOBA AIBUKA ,AFUNGUKA MAZITO,ASEMA HAKUNA MABADILIKO BILA


 
. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema nchi haiwezi kuwa na mabadiliko ya kweli, kama miiko na maadili ya viongozi havitaingizwa kwenye Katiba Mpya.

Akizungumza baada ya kukabidhiwa tuzo ya maisha ya utumishi wa umma uliotukuka juzi, Warioba alisema kwa miaka mingi akishirikiana na rafiki zake, walijaribu kuleta mabadiliko makubwa katika jamii, bila mafanikio. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname