08 December 2015

BREAKING NEWZZ.. MKUU WA MKOA AMSAIDIA RAIS KUTUMBUA MAJIPU


MKUU wa Mkoa wa Katavi, Dk Ibrahim Msengi amewasimamisha kazi maofisa waandamizi 11 wa Manispaa ya Mpanda akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wake, Suleiman Lukanga kwa ukiukwaji wa sheria za manunuzi kwa kufanya ubadhirifu fedha zaidi ya Sh milioni 92.8.  



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname