BREAKING NEWZZ: RAIS MAGUFULI AWEKA KAMBI BANDARI,MKURUGENZI MKUU,MWENYEKITI WA BODI NA KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI OUT
KATIKA kile kinachoonekana kutotaka masikhara na uzembe uzembe katika Serikali yake,Rais Dr John Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi mkuu wa Bandari Awadh Massawe pamoja na Mwenyekiti wa bodi Mhandisi Prof. Joseph Msambichaka
No comments:
Post a Comment