08 December 2015

BREAKING NEWZZ.. RAIS MAGUFULI AFANYA MABADILIKO NDANI YA JESHI LA POLISI, SOMA HAPA

AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dk. John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya utendaji ndani ya Jeshi la Polisi kwa kumhamisha Kamishina wa Operesheni na Mafunzo, CP Paul Chagonja.
Habari za uhakika zilizopatikana mjini Dar es Salaam jana, zinasema Rais Magufuli amemteua Kamishina Chagonja kuwa Kamishina mpya wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
“Rais amefanya mabadiliko madogo ndani ya Jeshi la Polisi, amemhamisha Kamishina Chagonja tangu jana (juzi) kwenda Zimamoto…nadhani ni mabadiliko ya kawaida tu.  


BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname