08 December 2015

RAIS MAGUFULI AZIDI KUTIKISA ,AFUTA NYAYO ZA SITTA NA MWAKYEMBE,WAZIRI MKUU AWATAJA MAJINA YA VIGOGO WAOHUSIKA NA MAKONTENA ZAIDI YA 2000

Kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais Dk. John Magufuli, katika kukabiliana na ukwepaji kodi na ufisadi wa fedha za umma imechukua sura mpya baada ya kuwasimamisha vigogo kadhaa wa Mamlaka ya Bandari (TPA) wakiwamo wateule wa waliokuwa Mawaziri wa Uchukuzi kwa nyakati tofauti, Dk. Harrison Mwakyembe na Samuel Sitta.
Mkurugenzi Mkuu wa Bandari aliyeteuliwa na aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi katika ngwe ya mwisho ya Serikali ya Awamu ya Nne iliyomaliza muda wake, Sitta, ni miongoni mwa watu waliosimamishwa kazi kwa amri ya Rais Dk. Magufuli.   


BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname