05 December 2015

BREAKING NEWS: TRA YAKUSANYA BILIONI 5 ZA KODI YA MAKONTENA 329


BAADA ya Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa kufanya ziara ya kushitukiza katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kubaini upotevu wa Makontena 329, mapya yaibuka kwa Makampuni 43 kuhusika kukwepa kodi ya Sh.Bilioni 12.6 katika Bandari Kavu inayomilikiwa na Said Salim Bakhressa.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname