05 December 2015

UJERUMANI YAMSIFU RAIS MAGUFULI KWA KUPAMVANA NA UFISADI KWA VITENDO.....YAAHIDI KUMPA USHIRIKIANO


Serikali ya Ujerumani imeeleza kufurahishwa na kasi ya kupambana na rushwa na ufisadi ya Rais John Magufuli na kuahidi kumpa ushirikiano katika masuala ya maendeleo.
Ujerumani inakuwa nchi ya kwanza ya kigeni kuvutiwa na kasi ya Rais Magufuli ambaye ameonekana kuelekeza nguvu katika si tu kupambana na maovu hayo tangu aapishwe Novemba 5, bali pia kuchochea maendeleo ya watu wenye kipato cha chini.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname