04 December 2015

ASKOFU GWAJIMA YAMKUTA MAZITO,WACHUNGAJI WATIMKA ,KISA

Mchungaji Josephat Gwajima.
NI SOO! Wachungaji wanne wa Kanisa la Nyumba ya Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima wametimka, Amani linaripoti.
Kwa mujibu wa mmoja wa wachungaji wa kanisa hilo, Godfrey Benjamin (pichani) aliyekuwa na cheo cha Potential Shepherd (Mchungaji wa Kundi Dogo), wachungaji hao walitimka baada ya kutofautiana kuhusu matumizi ya fedha zilizochangwa na waumini miezi michache iliyopita.Alidai kuwa katika moja ya ibada zake, apaswa kuchanga fedha ili wanunue maturubai.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname