04 December 2015

GARI LA WEMA SEPETU MIKONONI MWA RAIS MAGUFULI.MASTAA KIBAO NAO WAPO KWENYE LIST

Hali ni tete! Chanzo kimoja kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kimenyetisha kwamba, kasi ya Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ kuhakikisha hakuna Mtanzania anayekwepa kodi imepamba moto na sasa, imetua kwa mastaa wa Bongo ambapo kuna madai lile gari la kifahari la Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu (pichani) aina ya Range Rover Evogue linachunguzuwa na TRA, Amani limenyetishiwa. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname