15 November 2015

WAZIRI MKUU HACHAGULIWI KWA KURA ZA MAONI WALA KWA MITANDAO YA KIJAMII-MWAKYEMBE

Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela, Dkt. Harrison Mwakyembe.
Mbunge Mteule wa Jimbo la Kyela, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Tanzania atatokana na uteuzi utakaoidhinishwa na Bunge na si taarifa zilizopo sasa katika mitandao ya kijamii.  


.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname