15 November 2015

TAARIFA YA MH EDWARD NGOYAI LOWASSA KWA VYOMBO YVA HABARI JUU YA HALI YA KISIASA NCHINI


Ndugu Waandishi wa Habari na Watanzania wenzangu

Kama nilivyo waambia Viongozi Wakuu wa UKAWA walikaa juzi kutafakari hali ya kisiasa nchini na hususan Zanzibar na matukio yaliyoandamana na Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktober mwaka huu.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname