14 November 2015

RAIS MAGUFULI AIFUMUA IKULU,AIPANGA UPYA KWA KUPUNGUZA OFISI NA WATENDAJI


Rais John Magufuli amezifumua na kuziunda upya baadhi ya ofisi za Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam pamoja na kuwaondoa baadhi ya watumishi ambao hawana ulazima katika mfumo wa utumishi wa Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname