14 November 2015

MGONJWA ALIYETIBIWA NA RAIS MAGUFULI KUFANYIWA UPASUAJI WIKI IJAYO

Rais Magufuli akisalimiana na mgonjwa Chacha
 Mgonjwa aliyeahidiwa matibabu na Rais John Magufuli, Chacha Makenge amefanyiwa uchunguzi na majibu ya kipimo cha MRI na sasa anasubiri upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname