14 November 2015

MWIGIZAJI WA GHANA, JOSELYN ANASWA NA PENZI LA WIZKID

Mwigizaji wa sinema wa Ghana, Joselyn Dumas.
JOSELYN DUMAS mwigizaji wa sinema wa Ghana (Ghollywood), amejikuta amenasa katika penzi la mwanamuziki maarufu wa Nigeria, Wizkid, ambapo waliitumia wikiendi iliyopita wakila bata katika hoteli ya Transcorp Hilton Abuja wakati wa tamasha la Usiku wa Wasanii (Acoustic Night).  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname