21 November 2015

POLISI WAPIGA MARUFUKU WATU KUKUSANYIKA KUUAGA MWILI WA MWENYEKITI WA CHADEMA MAREHEMU MAWAZO


Serikali wilayani Geita na Polisi Mkoa wa Mwanza, wamepiga marufuku wanachama na wafuasi wa Chadema kukusanyika kwa ajili ya kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo   

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname