21 November 2015

MAKUBWA..!! WALIOFUKIWA NA KIFUSI MGODINI KWA SIKU 41 NA KUOKOLEWA WATAKIWA KUPAKWA VINYESI

Wazee wa kimila wa makabila ya Wakurya na Waluo wamesema watu watano waliookolewa kutoka kwenye machimbo ya Nyangalata, Kahama ambao waliwekewa matanga kabla ya kuibuka wanatakiwa kufanyiwa mambo ya kimila, vinginevyo watakufa kiajabu.   


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname