15 November 2015

POLISI MKOANI MWANZA YALAZIMIKA KUTUMIA MABOMU KUWATAWANYA WAOMBOLEZAJI WA ALPHONCE MAWAZO KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO.


Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limelazimika kupiga mabomu ya machozi katika hospitali ya rufaa Bugando ili kumuokoa askari mwenzao aliyekuwa ameingia ndani ya chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali hiyo, baada ya mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema ) 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname