20 November 2015

HUYU NDO GAIDI ALIYE FANYA MASHABULIZI YA NCHINI UFARANSA

UFARANSA (1)Mtuhumiwa namba aliyepanga mashambulizi ya Paris, Abdelhamid Abaaoud ‘Mastermind’ enzi za uhai wake.UFARANSA (2)Abdelhamid Abaaoud akifanya mazoezi ya kulenga shabaha.
UFARANSA (3)…Akiwafunga na kuwaburuza kwenye gari mateka aliowaua tayari.ISOMETRICJinsi oparesheni ya kuwasaka watuhumiwa kwenye Kitongoji cha Saint-Denis, Paris yalivyofanyika jana.
UFARANSA (4)Mmoja wa watuhumiwa akiwa amepigwa risasi na kuuawa.
UFARANSA (8)

Polisi na kikosi cha uokoaji wakiwa kazini kwenye oparesheni ya jana.Hasna Aitboulahcen, 26, the cousin of Abdelhamid Abaaoud, the alleged mastermind behind the ISIS Paris atrocities Credit La DH/Les Sports Agreed fee 200 euro on use. NO INTERNET. Supplied by Eric Guidicelli, Directeur artistique, egui@dh.be, Tel : +32 474 77 77 24, Fax : +32 2 211 28 70, Groupe de presse s.a. I.P.M., Boulevard Emile Jacqmain, 127, 1000 BruxellesMtuhumiwa namba mbili wa mashambulizi ya Paris, Hasna Ait Boulahacen “The Cow Girl’.Residents evacuated from their flat close to the suspect terrorists building. French police with the Raid and the BRI, Elite police forces, launch operation to storm Saint-Denis flat containing up to six Paris terrorists. Mastermind behind Friday's massacres, Abdelhamid Abaaoud, 27, believed to be inside the Paris apartment. Female suicide bomber detonated explosive vest after firing on police while one suspect killed by rooftop sniper. At least five police have been injured in the ferocious gunfight and the terrorists also shot and killed a police dog. Saint-denis, FRANCE-18/11/2015./ACAU_1341.05/Credit:Antoine Cau/SIPA/1511181346
Hasna Ait Boulahacen alivyopishana na askari kwenye lango la nyumba waliyokuwa wakiishambulia askari kuwasaka watuhumiwa.ForensicUvamizi wa askari katika Kitongoji cha Saint Denis, jana.Paris (8)Paris (3)Polisi walivyojipanga kukivamia Kitongoji cha Saint Denis, Paris jana.Ambulance
Watu walivyouawa kwenye shambulio la Ijumaa, Paris, Ufaransa.
Paris, Ufaransa
MWENDESHA mashtaka nchini Ufaransa amethibitisha kwamba, mtuhumiwa namba aliyepanga mashambulizi ya Paris, Abdelhamid Abaaoud ameuawa kwenye operesheni maalum ya kumsaka ilioyoanza jana.
Abaaoud ndiye alikuwa akisakwa na polisi waliovamia nyumba moja katika Kitongoji cha Saint Denis kilichopo Kaskazini mwa Paris, Ufaransa.
Awali, mwendesha mashtaka wa Paris Francois Molins alikuwa amesema Abaaoud na mshukiwa mwingine Salah Abdeslam hawakuwa miongoni mwa watu wanane waliokamatwa.
Hata hivyo, miili ya watu wawili waliouawa ilikuwa bado haijatambuliwa na baada ya uchunguzi imebainika kwamba Abooud aliuawa.
Hayo yakijiri, wabunge nchini Ufaransa wanatarajiwa kupiga kura kuongeza muda wa kutekelezwa kwa hali ya hatari.
Wapiganaji wa Islamic State (IS), ambao wanadhibiti maeneo ya Syria na Iraq walisema ndio waliohusika katika mashambulio hayo yaliyoua watu 129 na wengine 400 kujeruhiwa Ijumaa iliyopita

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname