18 November 2015

Cristiano Ronaldo kazidi utundu hadi binti wa wakala wake


Cristiano Ronaldo kuingia katika headlines imekuwa kawaida sana kwake ukilinganisha na Lionel Messi ambaye amekuwa akitajwa kama mshindani wake mkubwa licha ya kuwa maisha binafsi wako tofauti sana kitabia za nje ya uwanja. Ronaldo amekuwa akihusishwa sana kuwa katika mahusiano na wapenzi wengi kwa nyakati tofauti tofauti.
 
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname