20 November 2015

Angalia alichokifanya Waziri Mkuu Majaliwa baada ya kupitishwa bungeni

Waziri Mukuu Mteule, Majaliwa Kassim Majaliwa, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuteuliwa na kuthibitishwa na bunge mjini Dodoma jana, ambapo anatarajiwa kuapishwa leo Ikulu ya Chamwino.
Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa, akitoka kwenye ukumbi wa bunge mjini dodoma jana mara baada ya kuthibitishwa uteuzi wake na bunge.
Waziri Mkuu Mteule akiwashukuru wabunge mara baada ya kumthibitisha.
Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa, akitoka kwenye ukumbi wa bunge mjini dodoma jana mara baada ya kuthibitishwa uteuzi wake na bunge. (Picha: Francis Dande

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname