18 November 2015

ALIYEFUKIWA siku 41 NA KUOKOLEWA MGODINI AMULIZIA LOWASSA NAKUFUNGUKA HAYA

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Mmoja wa watu waliokuwa wamefunikwa na kifusi chini ya ardhi kwa siku 41, juzi jioni alizinduka na muda mfupi baadaye akaulizia kama aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa ameshinda Uchaguzi Mkuu.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname