20 November 2015

ALI KIBA ATOA KAULI KUHUSU POST YAKE ALIYOIANDIKA ISTAGRAM,AMPONGEZA DIAMOND PLATINUMS


Alikiba ametolea ufafanuzi post yake ya Instagram iliyozua mjadala kwa mashabiki mbalimbali wa muziki ambao waliipokea kwa hisia tofauti.
Siku ya Jumatatu Nov.16 Muimbaji huyo wa single mpya ‘Nagharamia’ aliandika, “Asanteni sana najua mmepiga kura sana lakini nilikuja kugundua baada ya kufuatilia kuwa kuna mambo yanaendelea ya watu wanadiriki hata kupoteza pesa zao kwaajili yangu ila nawaomba fans msinielewe vibaya I will always be there for you #hapakazitu #kingkiba,” post ambayo baadae aliifuta.

Kupitia kipindi cha Ala Za Roho cha Clouds Fm na Diva The Bawse, king Kiba amesema kuwa watu walimuelewa vibaya kwenye post hiyo na ndio sababu kubwa ya kuamua  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname