10 October 2015

VAN VICKER KUMFANYIA SAPRAIZI WEMA SEPETU


Wema Sepetu ‘Madam’, akiwa na muigizaji wa Ghana, Van Vicker.
Stori: Imelda Mtema
ZIKIWA zimesalia wiki kadhaa kabla ya kufanyika kwa sherehe ya bethidei ya muigizaji Wema Sepetu ‘Madam’, muigizaji wa Ghana, Van Vicker amesema amemuandalia zawadi ya ‘sapraizi’ mrembo huyo katika sherehe yake hiyo muhimu.  


BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname