Historia imeandikwa kwa mara nyingine
Dar es Salaam usiku wa kuamkia October 10 2015, hii ni siku nzuri na ya
kumbukumbu kubwa kwenye Burudani Tanzania, Kayumba Juma anaziandika
Headlines kwenye burudani Tanzania baada ya kuibuka na ushindi wa Kitita
cha Milioni 50 kwenye Season 8 ya Bongo Star Search 2015.
Najua ilikuwa LIVE kwenye baadhi ya TV Station ikiwemo Clouds TV, lakini ninazo na pichaz pia kama hukuishuhudia Burudani ya Fainali unaweza kucheki kwenye hizi pichaz nyingine mtu wa nguvu.
No comments:
Post a Comment