20 October 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA KUSAGA KOKOTO PONGWE MSUNGURA


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua mradi wa kusaga kokoto uliopo katika kijiji cha Pongwe Msungura Wilayani Bagamoyo leo. Kulia ni Waziri wa Ulinzi  na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Mwinyi, Wapili kulia, ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga,wapili kushoto ni Balozi wa Uturuki nchini Mhe.Yasemin Eralp, watatu kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya ANIT ASFALT Bwana Semih Yaran, na wanne kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname