20 October 2015

LOWASSA AUNGURUMA TUNDUMA NA KYELA, KAMPENI ZA UKAWA KUSITISHWA ILI KUMZIKA MWANA UKAWA DKT. EMANNUEL MAKAIDI JUMANNE OKTOBA 20





Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia mkutano wa kampeni huko Tunduma mkoani Mbeya leo Oktoba 19, 2015. 
Kampeni za UKAWA, zitasimama kwa muda Oktoba 20, ili kutoa fursa kwa viongozi kushiriki ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti mwenza wa UKAWA, marehemu Dkt. Emmanuel Makaidi, itakayofuatiwa na mzishi yake yatakayofanyika Sinza jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Fidelis Feix na Othman Michuzi)
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname