
"Tarehe 30 Septemba 2015 niliandika katika ukurasa wangu wa fb makala fupi sana nikijibu swali nililoulizwa na watu wengi kuhusu mimi kuhama Chama. Majibu yangu naamini yalieleweka. Siku mbili baada ya hapo wataalam wa propaganda wakaongeza maneno yafuatayo kwenye taarifa ya majibu yangu....." ni kweli CCM walinikwaza lakini siwezi kujidhalilisha kuhamia CDM chama ambacho siku zote nimehubiri kuwa ni wababaishaji". Maneno haya
No comments:
Post a Comment